Monday, April 27, 2009

Juma Kaseja arudishwe Simba

Kama habari kuwa viongozi wa Simba wakiongozwa na Friends of Simba wana mpango wa kumrudisha tena Juma Kaseja Msimbazi. Je?Kuna umuhimu wa kutumia pesa nyingi kumsajili Juma? maana kwa sasa Ally Mustapha na Deo Dida ni makipa wazuri na wana uwezo wa kuendelea kuwa bora zaidi. Mi nadhani tungetumia pesa kusajili forward mmoja mzuri na attacking mid fielder badala ya kipa, wengine mnaonaje?

4 comments:

  1. Sidhani kama tunamuhitaji Juma Kaseja tena, abda arudi bure.Simba inahitaji striker wa aina ya Ambani ili ifike mbali katika mashindano ya CAF

    ReplyDelete
  2. yap! hakuna umuhimu wa kaseja, ni kuongeza striker na waliokuwepo kupewa nafasi ya kucheza vizuri

    ReplyDelete
  3. hatumuhitaji Kaseja, ila kama anarudi nadhani anaweza kurudi bure kwani mkataba wake na Yanga ni wa mwaka mmoja tu. hivyo baada ya ligi kuisha anakuwa huru na hata hao yanga kama wanataka kumuongezea mkataba inabidi waongee nae na kumlipa

    ReplyDelete
  4. hatumuitaji kaseja

    ReplyDelete