Monday, April 27, 2009
Juma Kaseja arudishwe Simba
Kama habari kuwa viongozi wa Simba wakiongozwa na Friends of Simba wana mpango wa kumrudisha tena Juma Kaseja Msimbazi. Je?Kuna umuhimu wa kutumia pesa nyingi kumsajili Juma? maana kwa sasa Ally Mustapha na Deo Dida ni makipa wazuri na wana uwezo wa kuendelea kuwa bora zaidi. Mi nadhani tungetumia pesa kusajili forward mmoja mzuri na attacking mid fielder badala ya kipa, wengine mnaonaje?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Sidhani kama tunamuhitaji Juma Kaseja tena, abda arudi bure.Simba inahitaji striker wa aina ya Ambani ili ifike mbali katika mashindano ya CAF
ReplyDeleteyap! hakuna umuhimu wa kaseja, ni kuongeza striker na waliokuwepo kupewa nafasi ya kucheza vizuri
ReplyDeletehatumuhitaji Kaseja, ila kama anarudi nadhani anaweza kurudi bure kwani mkataba wake na Yanga ni wa mwaka mmoja tu. hivyo baada ya ligi kuisha anakuwa huru na hata hao yanga kama wanataka kumuongezea mkataba inabidi waongee nae na kumlipa
ReplyDeletehatumuitaji kaseja
ReplyDelete