Monday, April 27, 2009

Karibuni

Karibuni mashabiki na wapenzi wote wa timu ya Simba Sports Club 'Mnyama' tupashane habari, kubadilishana mawazo na hata kukosoana katika blog yetu.

1 comment:

  1. ni jambo zuri kwa kuanzisha blog hii,ila klabu yetu ijitahidi iwe na website basi waanzisha hata blog kama hii

    ReplyDelete