Friday, May 1, 2009

TBL waikabidhi Simba Sc. Mabasi 2

Mdhamini mkuu wa timu ya Simba, TBL kupitia bia yake ya Kilimanjaro leo wamewakabidhi Simba Mabasi 2 (Toyota Coaster 'mayai' na Toyota Hiace) kwa ajili ya matumizi ya shughuli za club!Kwa ujumla mabasi hayo yana thamani ya karibia Milioni 100 (kwa mujibu wa wadhamini).
Picha za mabasi hayo zitatoka soon! Watani wetu nao wamepewa mabasi kama sisi
Asante TBL

2 comments:

  1. Mtu wangu umefanya jambo la maan sana sasa ningeomba ungetumba listi na picha kama utaweza ya timu yetu ya sasa! Mimi simba damu lakini wachezaji toka nimekuja ughaibuni siwajui ndugu yangu

    ReplyDelete
  2. kwa sasa msimu ndio umeisha, kwahiyo usajili unaanza upya.Kuhusu picha ntatafuta ile ambayo inawachezaji wengi. Timu zetu bado hazina utamaduni wa kupiga official picture moja ya wachezaji wote waliosajiliwa. Tena hii ingeweza kusaidia kuongeza mapato kwa klabu picha hizi zikiuzwa.Kesho ntakuwa nimeshapata picha .By Blogger

    ReplyDelete