Tuesday, April 28, 2009

Jamaa walipoponea tundu la sindano

Redondo akishangilia goli la kwanza alilowafunga Yanga katika mechi ya marudiano. Bahati yao refa aliwabeba kwa kuwaongezea dakika 7.

5 comments:

  1. Refa aliwaongezea dakika 7 Yanga peke yao?

    ReplyDelete
  2. Refa mbaya sana huyo! Sio fair kuwaongezea muda timu moja na kuwanyima timu nyingine!

    ReplyDelete
  3. mkereketwa wa simbaApril 30, 2009 at 2:32 PM

    viongozi na mashabiki wa simba tuache ujinga bwana tatizo si refa wachezaji wetu wapumbavu kwani dakika zikiongezwa timu yetu iliambia isicheze hadi bao lirudi.

    ReplyDelete
  4. Katika hali ya kimpira mara nyingi timu inayoongoza mwishoni huwa inalinda goli, na si kushambulia. ni saikologia ya kawaida ya mpira, tumeiona hata kwa Stars kule CHAN, na EPL tunaona kila siku mambo hayo yanatokea. Goli kurudishwa mwisho sio ujinga.marefa wetu wanapokea sana hongo, hata Mziray juzi amesema hilo suala

    ReplyDelete